IPILIMO
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,819
- 802
- kiwanja kizuri mita 40 kwa 42
- kipo visiga madafu-kama unatoka dar telemka madafu, upande huohuo.
- kipo umbali wa km 1 na 1/4, ukishavuka nguzo kuu za umeme; grid ya taifa
- umeme upo karibu na maji pia;
- watu wanajenga (ni maeneo hot)
- bei 6m (hakujapimwa)
ni-pm kama unahitaji