NAUZA KIWANJA MADALE DAR ES SALAAM

mluhilamkuu

Member
Dec 8, 2014
50
25
Habari ya Jumapili Wanabodi,
Nauza Kiwanja changu kilichopo Madale, Dar es Salaam.
Kina Ukubwa wa hatua 60 kwa 48. Kipo eneo tambarare na watu tayari wameshajenga
Bei ni Tsh Ml.12 tu
Kwa mteja serious naomba anitafute kwa namba ya simu 0786 294545 au 0714 159 283
Karibuni
 
Tangazo la serikali kupitia waziri mwenye dhamana lililotolewa jana mjini dodoma limepiga marufuku kuuza kujenga/sehemu yoyote ambayo haijapimwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom