mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
wadau kwa anayehitaji nauza kiwanja 20 X 20. kipo Mabwepande
sifa zake
bei ni shilingi milioni tatu (3000,000) hakuna dalali kwani nauza mwenyewe.
- jirani na barabara
- umeme nguzo moja tuu
- haijapimwa ila hakuna tatizo
mawasiliano; mtamanyali@gmail.com
Mabwepande....usalama upo?anyway Tsh.800,000/=kama upo tayari.
Kusema ukweli wa mungu, naona kama vile hili tangazo ni photoshop. Labda muhusika aniconvisi azawaiz
kusema kweli hata mimi sijakuelewa kwa nini unaona tangazo hili ni photoduka! Labda unieleweshe vizuri then nianze kukushawishi. Ila inshort ninauza kiwanja changu pale mambwepande mwenyewe ninaprot mbili so nauza moja.