Nauza kiwanja kwa bei ya kutupa

Chambuso2017

Member
Feb 14, 2017
50
22
Kipo Madale kwa Kawawa, kilometer moja kutoka Barabara ya Madale ilipo nyumba ya Mzee Kawawa.

Kina ukubwa wa hatua 25x25. Kipo kwenye makazi ya watu na kina nafasi za kutanuka kulia na kushoto mana ni ndogo sio rahisi mtu kuja kununua hizo ni mimi ndo ninayetakiwa kuzichukua tatizo fedha. Kinafikia kirahisi na gari na umeme umefika. Nahitaji pesa haraka.

Bei Shilingi Milioni saba, mimi mwenyewe ndiyo mmiliki lakini sijakikatia hati bado. Kwa maelezo zaidi nicheki PM nikupe namba tuwasiliane.
 
Kipo Madale kwa Kawawa, kina ukubwa wa hatua 25x25. Bei Shilingi Milioni saba, mimi mwenyewe ndiyo mmiliki lakini sijakikatia hati bado. Nahitaji pesa haraka, kwa maelezo zaidi nicheki PM.

Jaribu kulipa nyama kidogo tangazo lako, hilo litakusaidia kukipa thamani na mtu kuwa na hamu ya kukiona, kutaja eneo tu bila sifa za ziada kunakunyima fursa nzuri ya biashara, kwa sababu kiwanja hakina hati
1: Je kiko kwenye eneo la makazi?, kwa maana unaweza kukitafutia hati baadae?
2: Kuna Barabara inayopitika mwaka mzima
3: umeme umefika
5: Maji yamefika
6: kuna umbali gani kutoka barabara kuu?
7: Kiko karibu na kitu gani maarufu kama kipo?
 
Asante mkuu, tatizo wengine sisi sio wafanya biashara.
 
5 hauchukui na kuna umbali gani na barabara
Ngoja niongeze maelezo kwenye tangazo.

Kwajili yako ni kwamba;
Kipo kilometer moja kutoka barabara ya madale ilipo nyumba ya Mzee Kawawa, ni eneo la makazi ya watu na kinafikika kirahisi na umeme umefika pia kuna fursa ya kutanua maeneo ya kulia na kushoto mana ni madogo sio rahisi mtu kununua ni mimi ndo mwenye kuweza kuyachukua tatizo feza. Unaweza kunicheki PM nikupe namba yangu tuwasiliane.
 
Kikipata hati hakitakuwa bei hiyo mkuu, maeneo kilipo ukikutana na madalali bei zake ni Mil 9 hadi 12 bila hati. Mimi ndiye mwenye eneo nauza kwa bei ambayo mnunuzi ataridhika na mimi nitaridhika, hakuna mtu wa kati.
 
Lakini huoni mnunuzi utakuwa umemweka njia panda maana mkuu ametoka kuzunguushia Jana tu kujiandaa na mauzo ya viwanja.Ukikitafutia hati utakiuza mara mbili ya bei unayouzia now
 
Kipo Madale kwa Kawawa, kilometer moja kutoka Barabara ya Madale ilipo nyumba ya Mzee Kawawa. Kina ukubwa wa hatua 25x25. Kipo kwenye makazi ya watu na kina nafasi za kutanuka kulia na kushoto mana ni ndogo sio rahisi mtu kuja kununua hizo ni mimi ndo ninayetakiwa kuzichukua tatizo fedha. Kinafikia kirahisi na gari na umeme umefika. Nahitaji pesa haraka. Bei Shilingi Milioni saba, mimi mwenyewe ndiyo mmiliki lakini sijakikatia hati bado. Kwa maelezo zaidi nicheki PM nikupe namba tuwasiliane.
Mkuu Chambuso mimi nakihitaji napafahamu mpaka madale lakini hapo exactly kilipo sipafahamu hebu nitupie mawasiliano ni pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom