Nauza kiwanja king’azi Malamba

Nauza kiwanja king’azi Malamba

Bacore

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
225
Reaction score
230
Eneo lipo king’azi maeneo ya mbezi malamba, king’azi Dar es salaam,

Sifa za eneo husika
1. Maji na umeme vipo mpakani
2. Muuzaji ni mimi mwenyewe naishi hapohapo
3. Ukubwa wa eneo upana ni hatua 14 na urefu ni 24
4. Sehemu ni nzuri sana

Nitafute kupitia email yangu Email: educationforbenefity@gmail.com
 
Sawa. Ila kwenye huduma za maji huwa mdanganya sana kwa Dar hii maeneo mengi 75% hakuna maji ya DAWASA
 
Maji ya Dawasa, na mimi mwenyewe ninaishi maeneo hayohayo kiwanja kingine nimejenga nyumba hapo hapo
 
Bei kama kiwanja kipo posta

Back
Top Bottom