Wapi? Kimara Kilungule. Kilometa tatu kutoka Morogoro Rd (Kimara Korogwe/Kimara Mwisho).
Ukubwa?mita 40 kwa 20 (pamoja na eneo la bonde ambalo halijajumuishwa kwenye vipimo)
Bei? milioni 25
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Kipo barabarani (ya mtaa)
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
. Hakuna dalali
Mawasiliano? 0782 230159. Karibu..