mysara2011
Member
- Sep 28, 2017
- 69
- 84
Habarini wapendwa nauza kiwanja changu mwenyewe kipo kibaha vijijini Kata ya Boko Mnemela , Huduma zote za kijamii zipo umeme , maji vyote vishafika , japo kwa Gari nauli ni mia tano toka Tumbi Hospitali. Bei milioni 3 na nusu ukubwa wake ni 40 *22 japo kwenye hati kinaonyesha 40 * 20 ila tulikiongeza