Nauza kiwanja Goba njia panda ya Madale

bazoka

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
300
142
Kiwanja kinauzwa Goba-TEGETA A!

Ukubwa ni sq 840 bei ni tsh 20 million ila maongezi yapo hakijapimwa na kina mikataba yote ya awali kuanzia serikali ya Mitaa hadi kwa mwanasheria umbali kuanzia Masana kwenda kwenye eneo ni km 15 unaingilia njia panda ya kwenda Madale..

Km 2 toka GOBA mjini

Wasiliana nami kwa namba 0621-873514

Karibuni!
 
Back
Top Bottom