Nauza kiwanja chenye hati miliki

Duh 70m pamesimama sana ila vidole havilingani.
Utapata tu mteja
 
Kweli ardhi ni mali, lakini 70m kwa sqm 700 aiseee...ngoja wenye nguvu waje
 
kwa hiyo bei angalau kingefikia low density kumbe hata medium hakijafikia,khaaa!!! kapande tikiti tu uje utuuzie huku mjini
 
Karibuni jamani nimepunguza makali kama mnavoona hapo juu.
 
hahahaha, kiwanja cha ukubwa huohuo hapa mjini sehem zingine utakuta 200M-1Bn, ardhi ni mali, ukiikuta sehem ya bure we chukua tu usisite!

ni kweli mkuu ardhi inapanda thamani kadri muda unavyokwenda mbele me nilinunua ardhi mil 20 miaka 10 iliyopita saiv nauza zaidi ya mil 100
 
Hii industry inahitaji regulator, haiweekani mtu auze kiwanja bei ambayo anaifahamu mwenyewe. Kwani kupima kiwanja shs ngapi mpaka uuze hyo bei??

ni kweli kabisa....maana hata kama ni inflation kwa Goba million 70 ni nyingi sana!
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…