Nauza kiwanja Chanika

Nauza kiwanja Chanika

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Wakuu, heshima zenu,

Kwa mara ya kwanza nakuja kwenu kwa hii bidhaa adimu. Nauza kiwanja maeneo ya Chanika. Kina msingi kabisa wa vyumba vitatu, sitting room, dinning, master, kitchen, store na pia ramani yake ni nzuri sana huwezi amini. Ndo kwanza nilikuwa nimemaliza msingi, ila nimepata tatizo la ghafla ambalo limenifanya niuze hili eneo langu pendwa.

Nawasilisha kwenu. Aliye tayari na serious anipm
 
weka bei...kama ungeweza kuuweka na picha au ramani ya huo msingi ingevutia zaidi wateja!
 
Najaribu kuambatanisha, inagoma, unaingia ndani umbaki fulani kutoka tauni, mi mwenyewe huku sio mwenyeji sana
 
Ukiweka floor plan unaweza pata mteja haraka coz ili mtu anunue, lazma apende ramani yako. Na bei ake pia...
 
Mi sipendi kupindisha maneno, nauza 5800000 tu.
 
Ndo najaribu lakini nashindwa kuattach, nifanyeje, mana inanigomea
 
Huu ndo msingi wenyewe.Ntaambatanisha na floor plan muda c mrefu.Nilikuwa nashughulikia tatizo langu ndo mana nilipotea kidogo
 

Attachments

  • IMG_20150421_110127.jpg
    IMG_20150421_110127.jpg
    569.6 KB · Views: 163
  • IMG_20150421_110157.jpg
    IMG_20150421_110157.jpg
    530.7 KB · Views: 161
Wakuu mbona kmya, na nimeshaweka picha za msingi, aliyetayari anipm twende akajionee yeye mwenyewe, bado sijapata mteja mana sitaki dalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom