Nauza kiwanja changu, Mwanza.

Nauza kiwanja changu, Mwanza.

Loveeness78

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
280
Reaction score
294
Nauza kiwanja changu, kipo mwanza mtaa wa buswelo maeneo ya Nyamadoke msikitini. Karibu ya barabara litokalo Igoma kwenda wilayani.
Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25 m.
Nakiuza kwa mil 5
 
Aisee ni kizuri sana tena hiyo miti ya michungwa, unaweza kuiacha maana ipo kwa pembeni..

.. Lakini nimejaribu kukupigia haupokei
 
Hongera mkuu mi ninacho Busweru wilayani miguu 48 kwa 30 nakiuza milioni 3 hadi leo sijapata soko
Vyuma vimekaza sana hivi sasa unaweza hata kumweka mkeo dhamana ili upate mkopo na hakuna mwenye pesa ya kukukopesha!
Tuvumilie tu!!
 
Nauza kiwanja changu, kipo mwanza mtaa wa buswelo maeneo ya Nyamadoke msikitini. Karibu ya barabara litokalo Igoma kwenda wilayani.
Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25 m.
Nakiuza kwa mil 5
Sema kata ya Buswelu mtaa wa Nyamadoke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom