tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
Karibuni
Kiwanja kipo Eneo la Mbezi Msumi jirani kabisa na Goba,kina ukubwa wa square mita 600,kimepimwa na kipo kwenye mradi,jirani na kituo cha basi cha msumi kanisani(approximately mita 100),umeme na huduma nyingine za kijamii zinapatikana.Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0718 333 766