Kununua kiwanja kigambon ni risk,bcoz mpango wa mji mpya unaweza ukapita na ukapata hasara.c unajua tena ma ccm!!
Kununua kiwanja kigambon ni risk,bcoz mpango wa mji mpya unaweza ukapita na ukapata hasara.c unajua tena ma ccm!!
Mkuu utakuwa huelewi maana ya kupima ardhi na kuwa na hati
Ukiwa na hati upo entitled kulipwa fidia kulingana na value ya Kiwanja kwa kipindi hicho pamoja na value ya mali zilizopo kwenye kiwanja husika endapo serikali itapachukua.
Kama kiwanja kimepimwa ina maanisha kuwa tayari kipo kwenye mpango wa mji mpya ishu hapo ni kujua aina ya Nyumba inayotakiwa kujengwa katika hicho kiwanja. Acheni uoga kamateni maeneo kg before it's too late
.. xfactor labda kukupa maelezo zaidi ni kuwa kuna baadhi ya watu wana pima viwanja huko private na vina kuwa approved na manispaa,
ila hati haitolewi na manispaa wewe ndiyo utafatilia hati hiyo.kwa proces zile zile kama barua za serikali ya mtaa za mauziano, na mchoro wa huko..thenn unafanya follow ups kupata hati
mfano kama ile kampuni ya ardhi plan co wao walipima viwanja vingi private kwa mfumo huo huo na kuuza
Mkuu mimi sioni Sababu ya wewe kunipinga maana nilicho kieleza ni sawa na ambacho wewe umeongea
Pia mimi sijakupinga kwa chochote bali nimempa maelezo mkuu hapo juu kuwa asiogope kununua maeneo as long as yamepimwa Au kama hayaja pimwa basi ahakikishe yapo kwenye town plan
ni kweli chief ukisema usubirie serikalI ifanye miradi yake itachukuaaa miakaaaa na miakaaaAcheni ujinga nyie watu wananunua viwanja na wanajenga...kama kawa..huo mradi wao wa kusuasua ambao haujulikani ni lini..kwanza ulishaexpire mda sana.. Inshort hakuna mradi ambao wananchi wamepigwa stop order kigamboni. Tatizo la watanzania waweza kuambiwa mradi wa miaka 80 ijayo mijitu ikapunic eti inaogopa hasara. Huu mradi si wa siku moja kama ilivyo mtaa. Huu mradi ni mkubwa na inahitaji pesa za kutosha. Kuwalipa watu fidia. Na mradi huu si wa serikali ni wawekezaji. Kati ya marekani na china. Amka mtanzania utaogopa ardhi yako paka lini..... Kumbuka serikali ni mwananchi na si kikwete na watu wake ambao wapo kwa kura zetu. Mtakuwa mambumbu paka lini...agrrrrrrr yaani nakereka tena tungekuwa na msimamo tungewashtaki maana watu walishindwa kujenga wengine walikopa mabank ...sasa paka leo yapata miaka 6 hakuna hata dalili...halafu bado mnaogopa kujenga. Wenye akili wanajenga ,mambulula yatabakia kusema ovyo. Nimemaliza.
ni km 29 chief