Square metre 1700 @ 10,000 = 17,000,000 Tsh.
Hivi Tanzania tuna system inayotoa bei elekezi za viwanja?
Imekua ni katabia ka watu ku-inflate bei za viwanja (not specifically this particular one but it has been the general trend)
karibuni karibuni kigamboni.....viwanja hivyo haviko mbali na protea amani hotel ukiensa kushoto unakwenda changani beach...weekend ni bata tu huko
usishangae bei hiyo mkuu ukubwa wa kiwanjaa hicho je ukikikuta mbweni jkt au ununio si utaumizaaa kichwaaa kabisa....bei iko fair kabisa kwa mtu anayetaka na kujuaaa umuhimu wa kiwanjaaa mkuu.karibuuu sanaa
Kipo Kigamboni, amani gomvu
kiwanja kina ukubwa wa sqmt 1700
kiwanja kimepimwa na kina bicons kipo nyuma ya apaetmnts za sofia simba, sqmt 1 ni sh 10000, mazungumzo yapo..
akataye hitaji tuwasiliane kwa # 0715 591141
karibuni