Nauza kiwanja Changu Goba.....

Nauza kiwanja Changu Goba.....

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,502
Reaction score
6,412
Hello wadau,
Kutokana na shida ya ghafla inayonikabili sina jinsi ila kuuza kiwanja changu maeneo ya Goba-Kinzudi karibu na shule ya Rightway international School kimefanyiwa survey na kina block plan,pia nilipima hadi maji,majirani karibu wote wamejenga...size ni 47x25 M ambayo ni sawa na 1175 m[SUP]2 [/SUP]Bei inaanzia milioni 18 (maelewano yapo) kama unahitaji nipm
​
 
Mkuu wenye shida hawaanzi na hiyo bei.....10M itakuwa poa hata leo nakupatia
mkuu pole kama nimeanza vibaya lakini mi mwenyewe nilikinunua kwa bei mkuu lkn ndo maana nikasema maelewano yapo
 
daaah 18m kubwa sana bana...goba hiyo unayozungumzia ipo karibu zaidi na upande wa kimara au upande wa huku mbezi beach??
 
daaah 18m kubwa sana bana...goba hiyo unayozungumzia ipo karibu zaidi na upande wa kimara au upande wa huku mbezi beach??
upande wa mbezi beach mkuu unapandia pale africana..lkn mkuu kimekaa vizuri sana man
 
tunaweza kukiona hicho! masuala ya uuzaji wa viwanja mpaka ukione! i'm interested but mpaka nikione nijihakikishie location na umiliki wako!
 
Hello wadau,
Kutokana na shida ya ghafla inayonikabili sina jinsi ila kuuza kiwanja changu maeneo ya Goba-Kinzudi karibu na shule ya Rightway international School kimefanyiwa survey na kina block plan,pia nilipima hadi maji,majirani karibu wote wamejenga...size ni 47x25 M ambayo ni sawa na 1175 m[SUP]2 [/SUP]Bei inaanzia milioni 18 (maelewano yapo) kama unahitaji nipm
?
Kiwanja ushauza,kama bado call 0754 294469
 
Hello wadau,
Kutokana na shida ya ghafla inayonikabili sina jinsi ila kuuza kiwanja changu maeneo ya Goba-Kinzudi karibu na shule ya Rightway international School kimefanyiwa survey na kina block plan,pia nilipima hadi maji,majirani karibu wote wamejenga...size ni 47x25 M ambayo ni sawa na 1175 m[SUP]2 [/SUP]Bei inaanzia milioni 18 (maelewano yapo) kama unahitaji nipm
?

Mzee mimi nakitaka. Email yangu hii
 
Wadau,bahati mbaya au nzuri sikufanikiwa kukiuza kile kiwanja alijitokeza mdau mmoja tu na akasema hajalipenda,however kuna kitu kilijitokeza miezi miwili tokea nitangaze hapa watu walijenga kwa kasi sana wakuu mitaa ile lkn pia alijitokeza jamaa mmoja akatoa ofa ya milioni 30,lakini nikawa ile biashara niliyotaka kufanya na ile hela ikawa imeshapotea so nikaghairi na nimeamua kujenga mwenyewe....ila ki ukweli wadau viwanja maeneo ya Goba kinzudi vipo,lakini vinapanda bei kwa kais sana,

kwa mfano,kiwanja changu nilinunua mwaka jana august,kwa bei ya milioni 10,lakini mwaka huu mwezi wa kumi nimepata ofa ya milioni thelathini,hii inaweza kuwa biashara nzuri!

Pia nina kiwanja kingine maeneo hayo nilinunua kwa bei ya milioni mbili na nusu kwa mtu huyo huyo,hichi nacho kiko kama kilometa tatu kutoka hapo goba kinzudi,now nimepata ofa ya milioni tano na nusu...

sasa ukiangalia kwa makini utagundua kuwa viwanja vinapanda sana,na ukitaka kununua kiwanaja usiangalie sana watu wanafanya nn,maana unaweza kukatishwa tamaa...nitoe tu ushauri kama una nafasi weekend,nitakupatia namba ya mtu kule kinzudi ni kijana wangu wa site then uwasiliane nae atakuzungusha uone viwanja mbali mbali.

just PM me
 
Mkuu nimekusoma sana, tafadhari naomba unipatie namba ya huyu kijana wako niwasiliane nae, ikiwezekana jumamosi nitembelee maeneo kidogo. Asante
 
Mkuu wenye shida hawaanzi na hiyo bei.....10M itakuwa poa hata leo nakupatia
mkuu mtu anatoa ofa ile anayofikiri itasaidia kusolve matatizo yake!!kaanza na 18 wewe unamshusha hadi 10m sasa huoni unamuongezea matatizo tu!!msaidie kwa mpatia hiyo ofa aliyo omba!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom