Nauza kiwanja cha makazi kipo Singida mjini unyakumi karibia Na radio standard, maji Na umeme vimeshafika. Pia Huduma nyingine za kijamii zinapatikana kirahisi sana.
Bei ni milion tano mapatano yapo ukubwa wa kiwanja ni 30x35. Sihitaji dalali kwenye hili.
Kama unataka kujiona nitafute 0714359352 au 0764202064.
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.