mluhilamkuu
Member
- Dec 8, 2014
- 50
- 25
Wandugu salaam,
Nauza Kiwanja kilichopo hapa Dar es Salaam eneo la Madale. Kina ukubwa wa hatua 20 kwa 25. Nimeshakijenga msingi wa Nyumba na kuchimba shimo la choo na kulijengea kabisa kwa hiyo bado kuanza kupandisha tofali tu. Bei ni Ml.9 tu.
Mhitaji anakaribishwa.
Namba yangu ni 0654 998326