williaminnocent7 Member Dec 26, 2013 20 0 Mar 26, 2016 #1 Nauza kitanda na godoro ukubwa nin ft5/6 nipo mikocheni bei ni nzuri no 0713361744
Hornet JF-Expert Member Apr 29, 2013 26,304 50,471 Mar 26, 2016 #2 kitanda bei gani? nimechoka kulala chini.
Najaf JF-Expert Member Jun 20, 2015 1,490 2,361 Mar 26, 2016 #3 Halafu ukirud semester ya pili utalala wap? A U Supp za kutosha!!!!!
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Mar 26, 2016 #5 Mmepewa namba, muulizeni bei kupitia hiyo!
doper JF-Expert Member Apr 12, 2014 311 148 Mar 26, 2016 #6 Weka picha tukione, godoro ni jipya au, godoro ni super banco, conmfy au, weka na bei, ili mtu ajiridhishe ndo akupigie simu
Weka picha tukione, godoro ni jipya au, godoro ni super banco, conmfy au, weka na bei, ili mtu ajiridhishe ndo akupigie simu