Mkuu iyo hailipi bei ya icho kitanda ni 450k na kimetumika miezi 4 tu.Nahitaji iko cha mtoto.
Chukua 100k
Cha double kishanunuliwaHicho cha double chukua laki
niljua bado kilikuwa na size gani?Cha double kishanunuliwa
juu kilikuwa 3 x 6, chini 5 x 6niljua bado kilikuwa na size gani?