Nauza kisamvu

Karibuni kisamvu ni kilaini, kizuri na kitamu. Napatikana dar, mbezi beach 0783358788 View attachment 1228587
maelezo yako hayajitoshelezi, ongeza taarifa muhimu kwa mfano , mtu aliyepo mwenge ama mbagala ama sehemu nyingine yeyote akihitaji utaratibu ukoje, bei yako ni kiasi gani, na hivyo vitu vingine ulivyoongeza ni vitu gani na ni kwa sababu zipi nk
 
Karibuni kisamvu ni kilaini, kizuri na kitamu. Napatikana dar, mbezi beach 0783358788 View attachment 1228587


Tuache kuchezeana akili bwana, hiki kisamvu gani? Tunataka kisamvu cha asili tupekue wenyewe huku tukishikisha watu ukuta ama vitanda, alaaaaa. Wewe inabidi upigwe ban mara moja, yaani unatudanganya hivi hivi bila haibu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…