Nauza Kipikipi cha kijanja kwa bei poa.

Nauza Kipikipi cha kijanja kwa bei poa.

peaci

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
34
Reaction score
25
Nauza pikipiki kwa bei poa kabisa, 1200,000.(Milioni moja na lk mbili) Kwa anayehitaji unaweza ni pm tufanye biashara.
 
1470060912649.jpg
1470060921398.jpg
1470060929139.jpg
1470060945458.jpg
 
Mkuu peaci hali ngumu sana kwa sasa, chukua hiyo mkuu, labda kidogo niongeze 50 iwe 8.5 km uko tayar ni pm tumalize biashara

Naomba mkalipane tra ili mlipe ushuru,na wewe unaeuziwa dai risiti
 
Mkuu peaci hali ngumu sana kwa sasa, chukua hiyo mkuu, labda kidogo niongeze 50 iwe 8.5 km uko tayar ni pm tumalize biashara
Njoo pm mkuu tuyamalize kimyakimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom