sundoka JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 2,067 Reaction score 2,771 Jul 26, 2014 #1 Nauza king'amuzi cha TV cha Easy TV. Bado ni kipya hakina tatizo lolote. Bei poa sana. Tuwasiliane 0712016405.
Nauza king'amuzi cha TV cha Easy TV. Bado ni kipya hakina tatizo lolote. Bei poa sana. Tuwasiliane 0712016405.
Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Jul 26, 2014 #2 Tangazo lako halina mashiko! Hutapata wanunuzi serious, liboreshe
N nyanga2 Member Joined Jul 12, 2014 Posts 99 Reaction score 25 Jul 26, 2014 #3 Mawenzi said: Tangazo lako halina mashiko! Hutapata wanunuzi serious, liboreshe Click to expand... Kwel kabisa.arudie tena kwan sijamuelewa kabisa
Mawenzi said: Tangazo lako halina mashiko! Hutapata wanunuzi serious, liboreshe Click to expand... Kwel kabisa.arudie tena kwan sijamuelewa kabisa
sundoka JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 2,067 Reaction score 2,771 Jul 27, 2014 Thread starter #4 Wakuu nyie mnaona information gani zinakosa!?
Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Jul 28, 2014 #5 Taja bei mkuu