hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Uo umbeya sasa,ulikua wapi usianzishe uzi wako?
Nimeona niandike sababu kilikuwa kinapigwa vumbi tu huku nimehamia west klmn ukiwa na startimes ni kama una boksi tu. Kuna mdau yupo town keshakiwahi jana, kama unataka umechelewa. Afu mbeya mkeo kama si mumeo