Nauza king'amuzi cha Startimes 40,000/= Tshs

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
2,261
Reaction score
2,744
Habari za jumapili wakuu?Nina uza king'amuzi changu cha star time kwa bei tajwa hapo.Kipo vema kabisa ndo natumia kila siku!.Sababu ya kuuza nataka niongezee fedha ninunue kile cha TIN kuna local chanel ya MORNING STAR TELEVISION (YA WASABATO)Haipatikani kwenye star time.Niko Dar es salaam
 
kabla ya ku mpm kumbuka startime wanauza kipya kwa bei hiyo hiyo ya 40elfu

Si kweli mkuu! ving'amuzi vya startimes vinauzwa sh 60000 .
Kwa sasa kuna aina mbili ya ving'amuzi unachokisema wewe kile ambacho unalazimika kuwa unalipia kila mwezi husipolipia hata local chanel hupati. Lakini hiki ni kile cha bei ya 60000 kilichokuwa kinauzwa 79000.
 
swa bwana naona unaongea sana kama muuza bidhaa za promotion kwa nini unauza na uko wapi
 
Soma uzi kwa umakini mkuu! nimeeleza nilipo na sababu ya kuuza mkuu
 
Mmmh jaman chochonde habari hizi ziishie hapa hapa zisifike kitaa manake mimi chakwangu nilinunua 79,000 hlf nimepata mteja namuuzia 70,000 sasa akisikia vinauzwa 34,000 imekula kwangu
 
Mkuu wanasema chanzo cha uongo ni ukweli!.
Nasisitiza vya 34000 ni vile ambavyo kila mwezi lazima ulipie. Lakini kuna ambavyo havina malipo kwalocal chanel ndo vilikua 79000 kwa sasa ni around 60000.Mara nyingi napatikana kariakoo nitaenda na mnunuzi wangu ofisi za star times pale msimbazi ajue kwanza bei then ndo nitamuuzia.
 
mimi nina cha ZUKU jamani nauza 50,000/= kingamuzi na dish lake.... tuwasiliane
 
Mkuu wanasema chanzo cha uongo ni ukweli!.
Nasisitiza vya 34000 ni vile ambavyo kila mwezi lazima ulipie. Lakini kuna ambavyo havina malipo kwalocal chanel ndo vilikua 79000 kwa sasa ni around 60000.Mara nyingi napatikana kariakoo nitaenda na mnunuzi wangu ofisi za star times pale msimbazi ajue kwanza bei then ndo nitamuuzia.

mkuu akija mteja serious atanunua,transcation ya 40k mpelekane mpaka ofisi za msimbazi ingekua mnauziana gari si mngeenda mpaka japan!
 
sasa me nipo mwanza tunafanyaje biashara nataka San star times 0762369619
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom