Betha mbona unaleta shutuma badala ya kutumia namba yangu hapo juu ili upate bei?Wewe ni mlaghai huna bei ya kutupa
Hauko serious!!
Call call callBei bei bei bei
Tunaofanya biashara humu wengi hatuweki bei sababu humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga.mf..nikitaja bei hata ikiwa ndogo vp kuna watu watasema ni kubwa.kuna watakaosema "mbona buguruni yanauzwa laki mbili"wakati sio kweli.so,kama wahitaji njoo chemba tuongeebei ya dukuni ni 650,000/= ww si useme yako ni sh ngapi tujue??? kama laki 4 au 5 au 3 au 8 we sema tu....mwisho wa siku unataka kuuza tu...
Wekabei humu huoni kaz kila mtu akupigie cm alafu humtajie Bonge la bei kwanini usiweke bei mtu akikupigia yupotajili kulingana napesa yake[/QUO
"Hapa sina mteja"