Mbona bei za kimataifa mkuu...bei ya tv sh ngp? Sidhan km unauza...vitu used halafu bei zake mara mbili ya mpya
Aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu atakuwa mpanda au makete labda....huko wanakuwaga na bei zao...hiyo meza yako ya tv mpya dukan laki unusu....chek bei yako.
Anyway hutouza mkuu rudisha tu ndani.
Pamoja sana DAVIESthanx kwa niliokutana nao najua wanajua kwanini nimefanya maamuzi haya nashukuruni kwa support yenu kwakeli tumeongea na mmenipa support kubwa nawashukuru sana
wale wanaofanya masihara nyie pia niwashukuru maana kila mtu ana uhuru wa kusema chochote
appreciate much mshana jr sana sana also na wengine sijawa mention but we have finish the deal
Watu kama nyie mnaamsha gadhabu na kuifanya jf kuwa kama wote humu ni wajinga kama wewe, mwenzio anauza ana mambo take, wewe unaropoka kutafuta sifa, ukute wewe huna hata uwezo wa kumiliki hiyo meza ya TV,sorry sijapenda hata kimoja
Thanx saguda umeongea ukweli kabisa wachache wanatambua hiliWatu kama nyie mnaamsha gadhabu na kuifanya jf kuwa kama wote humu ni wajinga kama wewe, mwenzio anauza ana mambo take, wewe unaropoka kutafuta sifa, ukute wewe huna hata uwezo wa kumiliki hiyo meza ya TV,
Printer aina gani???? 0626 620 846Nimeomba mkopo niweke bond tv sijafanikiwa sasa nimeamua kuuza
Kabati ya vyombo 300000
Tv samsung 34 550000
Meza ya tv 250000
Sofa box mtu 1 na 3 350000
Printer 100000
Camera samsung mpx 16.2 150000
Pm kwa mazungumzo
Hivi umeshindwa kabisa kupunguza usengele wako!sorry sijapenda hata kimoja