Nauza kabati la nguo

Nauza kabati la nguo

kabunda88

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
3,094
Reaction score
2,693
Napunguza baadhi ya vitu ndani kwangu naanza na kabati la nguo ni la milango mitatu halina shida nimeamua tu kuliuza baada ya kununua jingine kama utakuwa interested nicheki PM nitakupa namba na nitakutumia picha za kabati WhatsApp nipo Dar maeneo ya studio.
 
Back
Top Bottom