Nauza juice nzuri sana ya tende

Nauza juice nzuri sana ya tende

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,950
.
 

Attachments

  • IMG_20181018_110701_995.jpeg
    IMG_20181018_110701_995.jpeg
    27.6 KB · Views: 82
  • IMG_20181018_110648_929.jpeg
    IMG_20181018_110648_929.jpeg
    38.3 KB · Views: 64
Tena Dsm na umesema inasaidia kurudisha nguvu za Kiume basi lita moja uza kuanzia 10K juice itaisha ndani ya nusu saa hata kama una pipa zima.

Ukiuza 6K utapata usumbufu mkubwa sana maana wateja watakua wengi utashindwa kukusanya hela zako mwisho wa siku wengine utawapa bure
 
Shosti aliniomba nimpostie tangazo lake maana alijiunga JF but account yake iko pending. So ikikaa poa atakuja kupost mwenyewe na maswali yote muulizeni yeye.
 
Kaenda wapi maana huku koromije tumezoea juice za aloe vela
Hahahaaa mkuu umenikumbusha alovera ni mwisho wa vidume, tena ile pure ya kijijini unakata jani lake unaliinamisha kwenye bakuli then unakunywa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom