Mimi nilipiga hesabu za kwamba usajili wa DP ni wa almost 2 years, so discount ya 10% kwa mwaka ingekula walau 2.2m (on straight-line basis) kutoka bei ya kuifikisha hapa nchini which is around 11m.
Habari WakuuNatafuta gari Toyota IST yenye sifa hapo juu, offer yangu ni kuanzia 7m mpka 8.5m,Gari iwe katika hali nzuri, rangi silver, Gray, dark na light …