Kuna kitu tunashindwa kukielewa.lete 9M nakuletea IST mpaka getini kwako...hiyo bei umeweka faida kubwa sana mzee shuka uko juu sana
Kuna kitu tunashindwa kukielewa.
Wewe ukiileta hiyo gari kwa hiyo 9Mil utaiuza kwa Tshs ngapi? Labda tuseme utataka faida ya 1.5Mil, so utauza kwa 10.5Mil minimum.
Haya, watanzania tuna kawaida ya kulia bei, katika hiyo 10.5Mil utangaze bei bei gani kianzio ili mteja akiomba punguzo bei irudi kwenye hiyo 10.5Mil??
Na hapo hiyo 9Mil inaweza kua umeitaja tu, but pengine labda likaku-cost zaid mpaka 10Mil.
nakula
hivi hawa magari yao mbona yanaonekana yamechoka sana mengine yana kutu kabisa.wamezowea befoward hao gari mpaka usd 200/=?
Mbona bei ndogo kwani gari yako ina matatizo gani? mpaka unaiachia bei yote hiyo?
Ni kweli ila ukiliagiza hilo gari, ulakipa ushuru na kilisajili, bei yake haizidi 8.5m.