favoured Member Joined May 5, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Mar 31, 2015 #1 Wanajamii, Nauza Iphone 6, nimepata dharura hivyo nnahitaji hela (Nimeinunua ila nimepata dharura, I need Money). Bei ya kuuza 1.6milion, Niko Dar. Kwa mawasiliano piga 0717633724.. Tafadhali upige simu kama mnunuzi tu. Picha yake hiyo nime-attach. Attachments iphone 6.jpg 783.8 KB · Views: 376
Wanajamii, Nauza Iphone 6, nimepata dharura hivyo nnahitaji hela (Nimeinunua ila nimepata dharura, I need Money). Bei ya kuuza 1.6milion, Niko Dar. Kwa mawasiliano piga 0717633724.. Tafadhali upige simu kama mnunuzi tu. Picha yake hiyo nime-attach.
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,846 Mar 31, 2015 #2 Mmmmmm mbona kama hiyo kabsa kuna duka inauzwa laki saba tu?????
favoured Member Joined May 5, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Mar 31, 2015 Thread starter #3 mujukum sio vizuri kupoteza watu..kama hununui ukae kimya hamna iphone 6 hata kwa 1.5 mil popote ,asante serious buyers only to comment
mujukum sio vizuri kupoteza watu..kama hununui ukae kimya hamna iphone 6 hata kwa 1.5 mil popote ,asante serious buyers only to comment
AgentX JF-Expert Member Joined Mar 7, 2015 Posts 1,651 Reaction score 1,700 Mar 31, 2015 #4 mjukuum said: Mmmmmm mbona kama hiyo kabsa kuna duka inauzwa laki saba tu????? Click to expand... Wapi? Mkuu
mjukuum said: Mmmmmm mbona kama hiyo kabsa kuna duka inauzwa laki saba tu????? Click to expand... Wapi? Mkuu
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,846 Mar 31, 2015 #5 Duka moja ni jpya kabsa liko kariakoo
U ujerumani Senior Member Joined Jan 31, 2015 Posts 125 Reaction score 86 Mar 31, 2015 #6 Weka simu tuone wewe unaweka boksi
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 Mar 31, 2015 #7 Ume download ing box lake alafu unatuzua unauza I phone, dar kila xiku mnabuni vipya duu
favoured Member Joined May 5, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Mar 31, 2015 Thread starter #8 Mpya haijafunguliwa kwa box, ina seal yake ya guarantee 2 yrs.. malezo pale juu yajitosheleza jamani ahsante aliyepiga akiiona atacomment ...
Mpya haijafunguliwa kwa box, ina seal yake ya guarantee 2 yrs.. malezo pale juu yajitosheleza jamani ahsante aliyepiga akiiona atacomment ...
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Mar 31, 2015 #9 Hongera kaka kwa kutembea na bonge la mtaji kwa biashara za uswahilini
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,240 Mar 31, 2015 #10 favoured said: Wanajamii, Nauza Iphone 6, nimepata dharura hivyo nnahitaji hela (Nimeinunua ila nimepata dharura, I need Money). Bei ya kuuza 1.6milion, Niko Dar. Kwa mawasiliano piga 0717633724.. Tafadhali upige simu kama mnunuzi tu. Picha yake hiyo nime-attach. Click to expand... kama unapata dharura na huwezi ku raise hata 2m kwa haraka sasa ulinunua iphone ya gharama ya nini? watu kupenda misifa bwana.
favoured said: Wanajamii, Nauza Iphone 6, nimepata dharura hivyo nnahitaji hela (Nimeinunua ila nimepata dharura, I need Money). Bei ya kuuza 1.6milion, Niko Dar. Kwa mawasiliano piga 0717633724.. Tafadhali upige simu kama mnunuzi tu. Picha yake hiyo nime-attach. Click to expand... kama unapata dharura na huwezi ku raise hata 2m kwa haraka sasa ulinunua iphone ya gharama ya nini? watu kupenda misifa bwana.
Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,293 Mar 31, 2015 #11 https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=828573
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,298 Reaction score 38,438 Mar 31, 2015 #12 Simu sio Asset.!
G golota JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 538 Reaction score 157 Mar 31, 2015 #13 favoured said: Mpya haijafunguliwa kwa box, ina seal yake ya guarantee 2 yrs.. malezo pale juu yajitosheleza jamani ahsante aliyepiga akiiona atacomment ... Click to expand... nyie ndo mnaouziwa sabuni badala ya simu
favoured said: Mpya haijafunguliwa kwa box, ina seal yake ya guarantee 2 yrs.. malezo pale juu yajitosheleza jamani ahsante aliyepiga akiiona atacomment ... Click to expand... nyie ndo mnaouziwa sabuni badala ya simu
K kisekekwetu Member Joined Sep 11, 2014 Posts 42 Reaction score 16 Apr 1, 2015 #14 Laki 8 ipo tutafutane