S slmmfm JF-Expert Member Aug 14, 2014 304 65 Jun 29, 2016 #1 nauza iphone 6 curv, haina scratch hata moja, 16GB, ni silver, bei 950k, nipo Dar 0716807721
B Baba yenu JF-Expert Member Jun 17, 2016 1,053 1,418 Jun 29, 2016 #2 Hiyo bei mtu anapata mpya mobile plaza
Simiyu Yetu JF-Expert Member Apr 29, 2013 18,949 4,638 Jun 29, 2016 #3 slmmfm said: nauza iphone 6 curv, haina scratch hata moja, 16GB, ni silver, bei 950k, nipo Dar 0716807721 Click to expand... Mkuu hii bei yako hupati mtu kwakweli.
slmmfm said: nauza iphone 6 curv, haina scratch hata moja, 16GB, ni silver, bei 950k, nipo Dar 0716807721 Click to expand... Mkuu hii bei yako hupati mtu kwakweli.
Vieloon JF-Expert Member May 5, 2012 1,520 694 Jun 29, 2016 #4 Baba yenu said: Hiyo bei mtu anapata mpya mobile plaza Click to expand... kafanye kazi ya marketing pale mobile plaza....wakulipe
Baba yenu said: Hiyo bei mtu anapata mpya mobile plaza Click to expand... kafanye kazi ya marketing pale mobile plaza....wakulipe
S slmmfm JF-Expert Member Aug 14, 2014 304 65 Jun 29, 2016 Thread starter #5 yakwangu mim nauza hivyo, pia ukiona ela nying unaacha sio lazima nikuuzie wew kaka.