nauza ipad

nauza ipad

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
nauza ipad 32gb ,3g, wi fi bei ni laki tano na nusu tu.if ur intersting just pm me.
 
Weka Picha Mkuu na Imetumika muda gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Weka Picha Mkuu na Imetumika muda gani?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kwa hapa bongo haijatumika kabisa, ndio imeingia kutoka nje na imetumika kidogo sana
 
Kutumika kidogo ndio kwa muda gani?Weka Picha na Aina gani!Mia tatu unakula?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kutumika kidogo ndio kwa muda gani?Weka Picha na Aina gani!Mia tatu unakula?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu hii kitu imetumwa ukiiona ni kama mpya kwa vile haina box ndio utajua ni used
 
Mkuu hii kitu imetumwa ukiiona ni kama mpya kwa vile haina box ndio utajua ni used

Huyu jamaa hajui ku upload picha nadhan,maana anaambiwa aweke picha lkn anajikausha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom