pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,233
Wakuu Nauza ipad yangu, specification zake ni hizi. 64 gb, Wi-Fi/3G/, bluetooth, version 5.1.1,haina camera, ila kwa internet unatumia wifi na pia unaweza weka micro chip.
Ina hali nzuri, the only reason nauza ni vile nimepata the new ipad min
Serious buyer mnakaribishwa sana.
thanks.
Ina hali nzuri, the only reason nauza ni vile nimepata the new ipad min
Serious buyer mnakaribishwa sana.
thanks.