Vivan cappatinho
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 284
- 238
Haina tatzo lolote hata maandishi ukiitaji tutasain, haina creak, haijawai kwenda kwa fundi, haijawai kufunguliwa. UWEZO WAKE ina 4g, ina ram 3gb, ina internal storage 32gb. Bei ni 220000 maelewano yapo, npo mwanza. Kama umevutiwa njoo dm tuelewaneView attachment 1136822View attachment 1136823