Nauza Hummer - Used

Nauza Hummer - Used

Mr. Toyo. linakuzibia parking ndio maana unauza!??! kweli kaka unazo!!
 
Mkuu uko vizuri..kwa gari la kifahari kama hili unaliona linakugasi...i cant imagine yako mengine ya namna gani. hii gari sio ya shilingi moja.nadhani ushuru wako nitavuta escudo kadhaa tena za miaka ya karibuni. kiukweli ukimiliki huu mkoko unatakiwa usiwe na vihela vya mawazo...uhusiano wako na wauza mafuta vituoni uwe wa karibu. HONGERA kamanda

Ni wazo zuri lakini am only tired of it (linajaza parking yangu tuu/lina bana mengine)...

Anyway will think of your idea, thank you for it.
 
Halafu misumari nitapata wapi!! Loh!
 
cc 5500 na hizi foleni balaa ya kwangu chevlolet suv cc 3500 huwa naitumia jumapili na kwa safari za mbali tu sasa hiyo ya cc 5500 labda uwende nayo Libya ambako fuel ni sh 450 za Tz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom