Nauza HTC one M8/ Samsung S4 Acive/ Sony Xperia Z2

Nauza HTC one M8/ Samsung S4 Acive/ Sony Xperia Z2

ComputersDAR

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
213
Reaction score
242
Nauza simu zifuatazo original brand new in sealed boxes (never opened).

1. HTC One M8 (silver) - Tshs. 1 million

2. Samsung Galaxy S4 Active (urban gray) - Tshs. 800,000

3. Sony Xperia Z2 (black) - Tshs. 1 million

Simu zote zipo Dar

Ni-pm kama unahitaji au wasiliana 0656607933

IMG_0067 - Copy.JPG

IMG_0071.JPG


IMG_0073.JPG

IMG_0074.JPG

IMG_0076.JPG

IMG_0077.JPG
 
iyo s4 nina 600 cash.

Laki 7 elfu 50 bei ya mwisho. Ni mpya kabisa na original box unafungua menyewe. International warranty/guarantee ya Samsung/Sony/HTC kwa kila simu ikiharibika inapeleka kwa local dealer unatengenezewa bure
 
Nimeipenda hiyo HTC, ila usawa huo kwa sasa ni mrefu. 700,000 ningejikamua.
 
Nimeipenda hiyo HTC, ila usawa huo kwa sasa ni mrefu. 700,000 ningejikamua.

HTC One M8 ni top model ya HTC, na madukani wanauza kati ya 1,150,000 hadi 1,250,000 kati ya maduka niliyopitia.

950,000 bei ya mwisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom