Computer4Sale Nauza HP Laptop used

Nauza laptop used. Inahitaji mategenezo kidogo. Bei Tsh 100,000
0673 553524
Boss weka sifa zake hiyo laptop unayouza ili wateja wafanye maamuzi sahihi...ukitupia na picha kadhaa,ukawaeleza wateja matengenezo kidogo yanayotakiwa ni yapii unaweza washawishi.
 
Hivi Slim inaijua vizuri? PC imechoka namna hiyo unasemaje kama mpya?
Ahahaha Boss haijachoka hila hizi hp body yake ndio iko hivyo.Lakini mkuu umeangalia specs za hii laptop na price tag yake??
na mteja atakayenunua ndio atakuwa mmiliki wa pili toka imetoka kiwandani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom