BLACKBERRY Z10 MPYA
BEI 700000
ITEL 1450(inote beyond) mpya
BEI 150000
NICHEKI 0752385949
View attachment 149768View attachment 149769
Mkuu mbona umepanic kusikia sim laki7? Kuna watu wanamiliki nyumba za milioni 600, gari la m200, we unashangaa sim? Isitoshe kuna watu wanapokea mshahara laki saba then wanainywea pombe yote.. Hao huwashangai?kumbe laki 7 ya hyo blackbery ukiongezea laki tatu inaitwa MILLION MOKO? waaaaoo kumbe watz matajiri eeeh Simu lak 7 Lol..... haya mkuu kila la kheri najua unauza smart 4n unataka kufuga mradi wa kuku..kaz kwa wanunuaji...lak 7 lol!! bibi yangu bado yupo kwenye nyumba ya udongo paa manyasi fensi makuti
kumbe laki 7 ya hyo blackbery ukiongezea laki tatu inaitwa MILLION MOKO? waaaaoo kumbe watz matajiri eeeh Simu lak 7 Lol..... haya mkuu kila la kheri najua unauza smart 4n unataka kufuga mradi wa kuku..kaz kwa wanunuaji...lak 7 lol!! bibi yangu bado yupo kwenye nyumba ya udongo paa manyasi fensi makuti

wewe huyohuyo ambaye bibi yako bado yupo kwenye nyumba ya makuti unavaa viatu vya elfu 20, shati elfu 10, suruwali elf15, halafu ukitoka na demu wako guest mnalipa elf10, vinywaji elf15, na unampa elfu20 ya nauli, unajua mpaka hapo unakuwa umetumia pesa ya bati ngapi?!!! nachotaka kukuonesha ni kwamba, maisha yanatofautiana, unachoona ghali wewe kwa mwenzako ni too cheap; hata wali unaokula kwa wengine ni anasa.
umemjibu nlichotaka kumjibu..Asante mkuu!!
wewe huyohuyo ambaye bibi yako bado yupo kwenye nyumba ya makuti unavaa viatu vya elfu 20, shati elfu 10, suruwali elf15, halafu ukitoka na demu wako guest mnalipa elf10, vinywaji elf15, na unampa elfu20 ya nauli, unajua mpaka hapo unakuwa umetumia pesa ya bati ngapi?!!! nachotaka kukuonesha ni kwamba, maisha yanatofautiana, unachoona ghali wewe kwa mwenzako ni too cheap; hata wali unaokula kwa wengine ni anasa.
Hatuwezi kuwa on the same Key,anasa kwako kwa wengine ni maisha ya kawaida!
View attachment 150087umemjibu nlichotaka kumjibu..Asante mkuu!!