dbelive
Member
- Feb 27, 2014
- 26
- 3
Nauza kiwanja heka moja kipo tabata kinyerezi ukishuka magengeni au sitendi ya zamani kwa dala dala kutoka stendi mpaka kwenye kiwanja ni kilomita 1 au kwa miguu dakika 25 na gari dakika 7 na kuna barabara mpaka kwenye kiwanja.vinavyopatikana kwenye kiwanja umeme,miti ya miembe 3,minazi 3 na ukichimba kisima maji yapo karibu, kiwanja hakina milima kipo flati bei mil 30 na taratibu za upimaji hazikukamilika ila majirani wamepima mawasiliano 0714 11 44 53
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app