Nauza GPS-garmin e trex legend HCX

Nauza GPS-garmin e trex legend HCX

ebo complain

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Nauza kifaa tajwa hapo juu.

Hali-used katka ubora wa hali ya juu

Bei-250,000
contacts-=0684264362
Npo morogoro mjin
 
bila contacts sasa tunakupataje mbona biashara bubu weka usimu namba hapa basi
 
Bei iko juu. GPS kwasasa hazina mvuto baada ya smartphone kuingia. Unaweza kutumia software nyingi kufanya GPS na picha za maeneo ukaweka kwa simu
 
Bei iko juu. GPS kwasasa hazina mvuto baada ya smartphone kuingia. Unaweza kutumia software nyingi kufanya GPS na picha za maeneo ukaweka kwa simu

Kuna tofaut kubwa sana kati ya gps na gps device!!

Embu jiulize, kwann wajenga barabara, surveyors wasitumie simu kama gps lakin wanatumia gps device tena za mamilion!???
 
Handheld au? Hapana hio gps ni ya zamani sana, aisee, mie mwaka wa 30 natumia hizo, nimeanza kazi tokea enzi za triangulation,
 
Back
Top Bottom