Nauza glass protector Kwa jumla

Nauza glass protector Kwa jumla

cathy collent

Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
11
Reaction score
5
Habari wana jf
Nauza glass protector kwa bei ya jumla..
Elfu moja moja kuanzia kumi .
Protector zilizopo ni za iPhone, Samsung, LG, huawei na techno
Kama unahitaji nitext pm au njoo directly kwny namba hii 0625216992
Karibun sana
IMG_20181001_105225.jpeg
IMG_20181001_105211.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20181001_104609.jpeg
    IMG_20181001_104609.jpeg
    48.3 KB · Views: 34
Samahani hizo glass protector zinasaidia nini naomba ufafanuzi.
 
Glass protector zinasaidia kulinda kioo cha smartphone yako.. Ukiweka glass protector incase simu imeangukia upande wa kioo mpasuko utaishia kwny protector
Inategemea na muanguko wa simu ulivyotokea lakini.
 
Back
Top Bottom