amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,169
- 31,356
Mwenzako yupo PM huko kwa wasio na longolongo...
In fact sasa hivi natafuta chopper nami niwe napasua anga kama kina Mbowe, kwa haya mafuriko ya Dar nimegundua gari halifai kabisa
Bora ununue chopa unipe lift mdogo wako maana nipo hapa kigogo juu ya paa nachat