Nauza gari

Nauza gari

mods naomba muweke jukwaa la madalali humu.
 
unauza gari moja au una magari mengi?
we ni mzee wa cha juu (dalali) au direct business man?
 
Mimi nataka bedford ya mwaka 1977 yenye bodi pana engine CODE: LX120 zile zenye taa ndogo. Yenye gia 12. Nikipata ile ya tani saba na isiwe tipa.
 
Hapa kila mtu anaweza kucoment awezavo
Najibu wale ambao wapo serious wanao itaji wanao ni pm,

Please walau weka hata picha za gari unazouza basi mkuu ili tujue una maanisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom