why unaiuza wakati umeinunua mwaka huu-huu? ni automatic au manual?
nimecheki tra iyo namba ya gari, jina la pili lililo tra linafanana na ID ya mleta mada ya jf, kama ni dalali kwenye mali zake kuna tatizo???alaf jf sijui tumekuja kuwaje, kwani kuwa dalali ni dhambi?si wanausaka mkate wa kila siku kama wewe ufanyavyo kwa njia zingine?
we sema ndio biashara yako hhauta daiwa pesa ya tangazo
Mkuu ukiangalia picha vizuri inaonekana ni automatic
Other: Dvd radio, plays cd and usb flash music, Four Wheel gear where required, Spoiler, sport lights,sport reams,roof rails.
Hapa kwenye nyekundu ndio nini?
Mkuu,
Sisi ambao tuna experience na magari haichukui mda mrefu kuangalia picha ya ndani kujua kama hii gari ni auto au manual. Nimeshaendesha Pajero Jr Manual so nilivoiona hii mini kwa ndani nikaona ni auto. We huwezi kuona vizuri hiyo gear yake hapo mkuu kwa sababu imefichwa kidoooogoo.
Angalia picha hii
View attachment 124539
Hjanielewa. Nimeshaona na nimeshakubali kuwa gari ni auto,ila ninachosema ni kuwa expression aliyotmia muuzaji ni tungo tata!
Mbona haionekani kwenye gari