Nauza gari yangu

weka kwenye jukwaa la matangazo madogo madogo.

Kwani hili jukwaa gani? we nae mbwiga kweli! yuko sahihi kabisa labda kakosea mambo mengine tu ya rangi na bei lakini yuko katika jukwaa sahihi. Bingwa wa kusahau nn?
 
Kwani hili jukwaa gani? we nae mbwiga kweli! yuko sahihi kabisa labda kakosea mambo mengine tu ya rangi na bei lakini yuko katika jukwaa sahihi. Bingwa wa kusahau nn?
Amehamisha ilikuwa jukwaa la hoja mchanganyiko. Matusi ndio umeona njia sahihi ya kufikisha ujumbe wako?
 
Specifications ni muhimu. km ngapi, cc? etc
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…