Nauza gari yangu

Nauza gari yangu

habari wadau nauza gari yangu aina ya vitz model 2004 rangi maroon kwa anaehitaji 0713229835


Shida ni nini tena bwasheee? Mafuta yamepanda mnoo au unataka kuchukua V8? Basi weka hata picha arifu tuone kama tunaweza fanya udalali hapo.
 
Bila picha haifanyiki biashara hapa mkuu
 
picha mkuu;interior and exterior

Picha hii hapa: Mshindwe wenyewe!

Toyota Vitz 2004.jpg
 
1.una uza kwa bei ya zenji au ya moshi,
2.ipo kwenye hali gani, inatembea
3.Umeinunua lini,
4.odometer inasomaje
5. Picha( ya leo) sio ya siku uliyo linunua
 
Jamani amesha sema kuwa anaye hitaji ampigie simu, inaonekana mnao uliza maswali hamhitaji hiyo gari. Mie nimeshapiga simu na kuongea na jamaa.
 
Inawezekana picha ashatuwekea, cheki avatar yake. Lkn ci rangi anayosema.
 
Kwanza karibu JF, pili issue yako hii ingewekwa kwenye matangazo mdogo-madogo (mods saidieni kuihamisha)
Pia zingatia kuweka bei, picha za ndani na nje
 
Picha yenyewe inaonekana kaiokota tu sehem kwenye mtandao acha utapeli mkuu, hiyo ndio rangi uliyosema. vingine vinakuwa vitoto vinataka tujue kama vina gari pu... mbavu zenu. mode sijawahi tukana nisameheni pls
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom