Nauza Gari yangu mpya IST

Kiongozi ukifika 8 milion nicheki fasta kwenye PM tumalize bznes mda wwte please
 
Ila gari nzuri sana. Ni ya kununua na iwe ya kufanya mambo yako na ya home tu. Au kama uber au taxif fanya mwenyewe..
 
Kitu kimesimamia kucha. Je ilikuwa inafanya biashara gani au ilkuwa ya matumizi binafsi, maana naona plate namba ni nyeupe.

Alafu naona ni kms 30000 tu, je ulinunua kiwandani ukalitumia au ulinunua used.
 
Naaam!
 
Nilinunua ikiwa na 15300km, mwanzo nilisajili kama commercial Ila baadae nikasitisha, kwa sasa Ina # plate ya njano (private)
 
samahani kwa swali nje ya uzi..

why gari nyingi za uber zinauzwa baada ya miezi mitatu hadi sita baada ya kununuliwa? je ukitest biashara haileti hesabu nzuri

Hii yangu sio Uber, inatumika kwa shughuli tu za home na Ina private number
 
Una uzoefu ghan wa kutumia gar acha kukatishaaa watu tamaa mwache mteja aje kuangalia gari
 
Gari Safi kbsa
Lazima uuze hyo

Ova
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…