Nauza gari TOYOTA BREVIS

Nauza gari TOYOTA BREVIS

LIGANGALEO

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Wana JF Nauza gari TOYOTA BREVIS hapa Dar nambaT 201 CTH. Rangi ni Pearl. Bei ni tsh ml.10.5. Kwa mhitaji serious namba yangu ni 0713 810803
 
Mileage vipi? Ina tatizo lolote? Ikiwezekana tupia picha tujiridhishe kwanza sisi wa mikoani
 
Wana JF Nauza gari TOYOTA BREVIS hapa Dar nambaT 201 CTH. Rangi ni Pearl. Bei ni tsh ml.10.5. Kwa mhitaji serious namba yangu ni 0713 810803

Mbona unaitupa kaka mtambo huo aisee
 
Kwani hiyo BREVIS ya wizi mbona unaficha mengi. Weka picha na uwaambie watu kuwa hiyo BREVIS ni 2990 cc. Kwa wanJFwengi ninaowajua mm BREVIS ni MSALA. bora ungekuwa na PASSO au CARINA Ti 1490cc
 
BREVIS ni jini, linafyonza damu kama halina akili nzuri, noma sana
 
Kwani hiyo BREVIS ya wizi mbona unaficha mengi. Weka picha na uwaambie watu kuwa hiyo BREVIS ni 2990 cc. Kwa wanJFwengi ninaowajua mm BREVIS ni MSALA. bora ungekuwa na PASSO au CARINA Ti 1490cc

Unaangalia ulaji wa mafuta au comfotability ya gari mdau kuliko kuwa na ka bby walker passo au calina bora nishike bomba gari gani za kimaskini hzo.
 
Unakufa Kijerumani ahahahaaaaaa
 
Unaangalia ulaji wa mafuta au comfotability ya gari mdau kuliko kuwa na ka bby walker passo au calina bora nishike bomba gari gani za kimaskini hzo.

Siku ukibashiwa makalioni utavikumbuka vibaby walker
 
Kumbe hii gari ni jini mafuta!!! Mbona naogopa sasa mpango wangu wa kuagiza kutoka NEPAL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom