Nauza gari Range Rover Sport

hilo sio gari ni jini sio kwa engine hiyo 3700
 
Ngoja nimpige muhindi jakport ntakutafuta tuyajenge mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Labda yale yaliyokutwa ktk kontena bandarin
 
Huyu ni Great thinker. Katika top 10 ya wachangiaji bora humkosi,,in-short tumejifunza mengi sana kutoka kwake..Mwenyezi Mungu aendelee kumpa afya njema na umri mrefu wa kuishi mama yetu!
Unamuongelea yule ajuza au nani mkuu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…